Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello everyone, Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha. sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa...
25 Reactions
113 Replies
19K Views
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror...
6 Reactions
82 Replies
2K Views
Nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 5mil maeneo ya kigamboni chanika gongo la mboto
0 Reactions
3 Replies
45 Views
Leo Palestina imepigiwa kura 143 za kuwa mwanachama wa umoja wa mataifa Kura 9 ikiwemo ya Marekani na Israeli zimekanusha, na wanachama 30 hawajapiga kura. Hii ni harakati ya kuifanya Palestina...
0 Reactions
4 Replies
43 Views
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
2 Reactions
34 Replies
572 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
257K Views
Mwalimu Mwakasege amewaasa Watanzania kutumia Hekima Zaidi kwenye kila Jambo Ili kwenda na nyakati za Sasa zenye mabadiliko makubwa Mwakasege amesema miungu wa Dunia wameshikilia mifumo yote ya...
4 Reactions
13 Replies
341 Views
Ni hilo tu Ili kupata uwanja mpana wa kukabiliana na wapotoshaji wa kisiasa Sabato Kamilifu 😂
1 Reactions
29 Replies
239 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,344
Posts
49,596,949
Back
Top Bottom