Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana....
At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited...
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata...
Habar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.
Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Maktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud.
Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu.
Sikiliza mazungumzo yetu...
Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.