Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha...
25 Reactions
153 Replies
13K Views
Ipo haja kutekeleza kivitendo makatazo ya taasisi mbalimbali nchini Tanzania kutumia nishati ya mkaa na kuni kulisha watu wao Taasisi kama vile Vyuo Vikuu Magereza Mashule Viwanda vya chai na...
0 Reactions
2 Replies
5 Views
Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
7 Reactions
141 Replies
3K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
216K Views
Wadau hamjamboni nyote Kapteni Ian Kagame wa Jeshi la Ulinzi Rwanda
0 Reactions
4 Replies
5 Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema Watanganyika hawatoki wapate Serikali ya Tanganyika eti kwa sababu Zanzibar Wana Serikali, au kwa sababu hatuwapendi Wazanzibar La hasha tunataka Serikali ya...
7 Reactions
28 Replies
881 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za majukumu ndugu zangu,, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So...
0 Reactions
7 Replies
38 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,137
Posts
49,591,261
Back
Top Bottom