Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Pamoja kwamba Mimi ni mfuasi wa CHADEMA na mwanachama wa CHADEMA, ila Kuna jambo moja linanifanya nimuunge mkono Makonda. Kusikiliza kero za wananchi ambazo serikali imeshindwa kuzishughulikia...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO)...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Habari zenu,
Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.