Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo...
5 Reactions
25 Replies
230 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
217K Views
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
9 Reactions
120 Replies
2K Views
1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu...
12 Reactions
53 Replies
475 Views
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi. Matatu ni neno la mtaa lenye...
3 Reactions
10 Replies
250 Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
23 Reactions
65 Replies
2K Views
Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye Umri wa Miaka 26 Nina Usikivu Hafifu. Hali hii imenifanya Nakosa Kazi / Mishe. Juzi Niliitwa kwenye Usaili Kwenye Kampuni Ya Ulinzi Ya...
2 Reactions
5 Replies
25 Views
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado. Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na...
32 Reactions
209 Replies
27K Views
Kufuatia uongozi mbovu wa rais Magufuli uliokuwa umejaa hotuba zake na matusi, ubabe na udikteta. Urais umeonekana ni cheo sawa na kile udiwani tu.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa...
2 Reactions
13 Replies
433 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,357
Posts
49,597,370
Back
Top Bottom