Dah masuala ya udomo zege bwana hatari yaani mpaka nimeamua kupitia wanawake madanga au bei poa. Kwa kweli hata sina muda wa kubembeleza wanawake wanaoringa wao waringe tu ila sina time na wao...
Habari za Uzima Ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye Umri wa Miaka 26 Nina Usikivu Hafifu. Hali hii imenifanya Nakosa Kazi / Mishe.
Juzi Niliitwa kwenye Usaili Kwenye Kampuni Ya Ulinzi Ya...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Habari kamili
Mwaafrika mmoja mtanzania amefanikiwa kuwa Tishio kwa wahisani 350 walio kuwa wakiwafadhili vijana wa kitanzania kwa miaka zaidi ya 20 katika shirika la living waters ( LWMT ) kutoka...
Kufuatia uongozi mbovu wa rais Magufuli uliokuwa umejaa hotuba zake na matusi, ubabe na udikteta.
Baada yake kaja mwingi wa laghai. Amefanya ulghai kwa yafuatayo:-
1. 4R.
2. Misuada ya uchaguzi...
Kwa ujio wa Artificial Intelligence umuhimu wa kujifunza na kuwa na uelewa wa programmig na coding ni muhimu sana. Kuna ajira nyingi sana ambazo ni remote zipo mitandaoni zinazohitaji mtu mwenye...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata...
RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abood Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo...
Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu
Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.