Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924. Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
24 Reactions
144 Replies
6K Views
Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024. Nguvumoja#
0 Reactions
3 Replies
5 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo •HD 4K camera •2 axis Gimbal •1.2 kilometre flying range •25 minutes flight time per battery •5Ghz Wifi frequency transmission •Altitude hold...
0 Reactions
20 Replies
153 Views
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo tangu zamani mashuleni, mitaani, n.k. !! tofauti yao ni kwamba viungo vyao havijakomaa...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakika ni mtetemo wa furaha, shangwe, tabasamu, nderemo ,vifijo na matumaini makubwa sana katika mioyo ya watanzania. Hii ni baada ya Rais samia mama wa shoka, chuma cha...
6 Reactions
177 Replies
7K Views
Habarini WanaJF. Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
4 Reactions
8 Replies
195 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,328
Posts
49,599,900
Back
Top Bottom