Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

JWTZ imekuwa ikifanya kazi vizuri kulinda mipaka ya nchi na Amani sambamba na kufanya whistle blowing kwenye TEUZI za kikimbizi. Pamoja na yote haya, bado kwangu wanasiasa wananguvu sana...
1 Reactions
3 Replies
32 Views
Habari Wana JF , samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaonii ahsanteni 🙏
0 Reactions
7 Replies
99 Views
Nabii Mkuu,kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha Bila shaka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
7 Reactions
118 Replies
429 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako. Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya...
5 Reactions
14 Replies
225 Views
Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the...
0 Reactions
12 Replies
266 Views
Humu unaweza kujitoa mwenyewe sadaka au kumtoa mwingine wa Karibu. Ila kikubwa ni kiapo Cha damu kisha unakabidhi nafsi.
7 Reactions
48 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,950
Posts
49,584,728
Back
Top Bottom