Hakika nimeona nitoe ushauri huu kwa wale wote MNAOOGOPA KUFA.Mtu akifa huonekana kama kaadhibiwa lakini ukweli ni kuwa Mtu akifa anaenda Sehemu nzuri na salama kuliko ALIPOKUWA.
Kuthibitisha...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la...
MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA
KILINDONI MAFIA
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni...
Asalaam wana JF,
Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
Naomba kufahamu unapoongeza maji kwenye gari je injini inatakiwa iwe inanguruma au gari inatakiwa iwe imezimwaka kabisa au switch iwe on?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wakuu kwa kifupi
Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine
Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili
Na historia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.