Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
3 Reactions
57 Replies
257 Views
Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoanikilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika...
4 Reactions
34 Replies
754 Views
Machawa fanyeni kazi yenu basi ya kusifia. Mvua hizo, mafuriko, mama Anaupiga mwingi. Naomba tumshukuru kwa mafuriko maana maisha yetu yanakuwa determined na Mama. Au nakosea jamani
0 Reactions
8 Replies
115 Views
Wakuu. Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi. Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata...
12 Reactions
44 Replies
398 Views
Picha inaongea mengi kwakweli.
5 Reactions
12 Replies
434 Views
Wananzengo Mwanamke wangu huyu hatimae leo kanipa notice yani termination without reason, Huyu mdada nilifahamiane nae kwa bahati bahati tu mwaka jana nilikuwa nampa upendo mapenzi moto moto...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
124K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,988
Posts
49,586,102
Back
Top Bottom