Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni...
6 Reactions
30 Replies
878 Views
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema...
26 Reactions
193 Replies
8K Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
10 Reactions
97 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na...
3 Reactions
49 Replies
776 Views
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp...
3 Reactions
22 Replies
534 Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
5 Reactions
56 Replies
648 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,926
Posts
49,583,766
Back
Top Bottom