Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
29 Reactions
477 Replies
5K Views
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi...
7 Reactions
41 Replies
493 Views
Taja film za kutisha nzuri kwako plus tamthilia. Zangu the walking dead hasa ilipokuwa inatafsiriwa na dj ommy. Conjuring zote plus Anabelle, the nun, ghost house, the hunted house, the animal, etc
3 Reactions
4 Replies
353 Views
Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola. Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha...
0 Reactions
7 Replies
102 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
13 Reactions
89 Replies
2K Views
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
5 Reactions
57 Replies
416 Views
Habari wakuu naomba mwenye viranga vya kuku wa kienyeji anaeuza tuwasiliane ,niko Mwanza.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Boeing has admitted that its Employees falsified aircraft records for the 787 Dreamliner.This is an extremely dangerous anomaly, especially with regards to safety.Given this extremely disturbing...
1 Reactions
16 Replies
227 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio tukawa mbali...
1 Reactions
5 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,750
Posts
49,580,239
Back
Top Bottom