Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi...
Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto.
Big up kwa...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
Salaam, shalom!!
Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,
Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.