Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unaweza Kuoa mwanamke anae kuzidi miaka 5?
2 Reactions
16 Replies
144 Views
Ama kwa Hakika huyu Waziri Mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa. Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
13 Reactions
26 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
4 Reactions
80 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
2 Reactions
84 Replies
2K Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
0 Reactions
4 Replies
53 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
14 Reactions
257 Replies
3K Views
Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti...
0 Reactions
16 Replies
847 Views
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
14 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuna mdau kauliza swali kuhusu Vimondo kikiwemo na kile kinachopatikana Jijini Mbeya katika wilaya ya Mbozi. Nitajibu kwa ufupi tu, ili na wengine wapate kuelewa kuhusu Vimondo na chimbuko lake...
1 Reactions
4 Replies
46 Views
Usiombe umpende mtu haswa halafu yeye akuoneshe dharau asiwe na upendo nawewe asee Dunia utaiona chungu
3 Reactions
13 Replies
158 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,826
Posts
49,581,580
Back
Top Bottom