Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza...
1 Reactions
7 Replies
17 Views
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi watanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli...
4 Reactions
34 Replies
391 Views
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ambaye hajafahamika...
2 Reactions
10 Replies
50 Views
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike. Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba. Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
12 Reactions
47 Replies
238 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
1 Reactions
30 Replies
161 Views
Mwijaku kaenda Mpaka Makka ila bado anafuga Mbwa, hajui kuwa ni Haramu kwa Muslims kufuga Mbwa..!! Waislamu hatufugi mbwa, mbwa ni haram tumewaachia Makafiri ndio wafuge! Mbwa akikunusa ama...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa komba, Ukubwa ni sqm 400 na kuendelea vipo umbali wa mita km 1 kutoka barabara kuu ya lami morogoro Road Bei milioni 12 ..... 0675 065906
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,856
Posts
49,582,264
Back
Top Bottom