Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania.
jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
Salaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na...
Hello wadau,
Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu.
Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo...
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
Mwijaku kaenda Mpaka Makka ila bado anafuga Mbwa, hajui kuwa ni Haramu kwa Muslims kufuga Mbwa..!!
Waislamu hatufugi mbwa, mbwa ni haram tumewaachia Makafiri ndio wafuge!
Mbwa akikunusa ama...
Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
Hakika nimeona nitoe ushauri huu kwa wale wote MNAOOGOPA KUFA.Mtu akifa huonekana kama kaadhibiwa lakini ukweli ni kuwa Mtu akifa anaenda Sehemu nzuri na salama kuliko ALIPOKUWA .Kuthibitisha hilo...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.