Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari mdau. Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka...
0 Reactions
4 Replies
23 Views
Shida ya Lisu hajikiti kuongelea yaliyomo kwenye Ilani ya Chadema anapuyanga tu kifupi Chadema hawana mtetezi wa Ilani Yao tofauti na CCM CCM Huwa Iko focused muda wote huongelea Ilani ya Chama...
0 Reactions
10 Replies
53 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums Nape Nnauye Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala. Nimefurahi kuja...
11 Reactions
57 Replies
473 Views
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
UKARABATI WA HOSPITAL HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO WASHIKA KASI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Willaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, tarehe 09 Mei 2024, ametembelea na kukagua Mradi wa...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Wabunge wa Zanzibar wanatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge vya mambo ya muungano tu sio vikao vyote vya bunge Kuna bajeti mfano hazihusu mambo ya muungano wanakalia Nini ? Au Kwa Nini wawawekwe...
0 Reactions
3 Replies
22 Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
31 Reactions
139 Replies
3K Views
Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
1 Reactions
3 Replies
25 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
49 Reactions
225 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,530
Posts
49,575,415
Back
Top Bottom