Habari mdau.
Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka...
Shida ya Lisu hajikiti kuongelea yaliyomo kwenye Ilani ya Chadema anapuyanga tu kifupi Chadema hawana mtetezi wa Ilani Yao tofauti na CCM
CCM Huwa Iko focused muda wote huongelea Ilani ya Chama...
Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums
Nape Nnauye
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala.
Nimefurahi kuja...
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani...
UKARABATI WA HOSPITAL HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO WASHIKA KASI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Willaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, tarehe 09 Mei 2024, ametembelea na kukagua Mradi wa...
Wabunge wa Zanzibar wanatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge vya mambo ya muungano tu sio vikao vyote vya bunge
Kuna bajeti mfano hazihusu mambo ya muungano wanakalia Nini ? Au Kwa Nini wawawekwe...
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.