Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa...
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Bunge la Dodoma lina Wabunge 50 wa Zanzibar ( Minority) na Wabunge 250 wa Tanganyika ( Majority) hivyo wakati mwingine hufanya Maamuzi...
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala.
Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi...
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.
Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.