Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo inatutia tu akshi asubuhii Kwani hizo chupi huwa...
4 Reactions
17 Replies
125 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
18 Reactions
182 Replies
7K Views
Wakuu kuna jambo linanitatiza. Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake...
10 Reactions
288 Replies
43K Views
"Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada...
1 Reactions
11 Replies
260 Views
UWT YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UZINDUZI WA WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034 🗓️ 8 Mei 2024 📍JNICC-Dar es Salaam Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
1 Reactions
2 Replies
33 Views
Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi. Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini. Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi...
1 Reactions
5 Replies
239 Views
Alhamisi inaendaje wakuu? Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine...
8 Reactions
132 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
  • Suggestion
Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi...
0 Reactions
3 Replies
32 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,434
Posts
49,604,173
Back
Top Bottom