Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
81 Reactions
327 Replies
14K Views
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala. Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi...
22 Reactions
105 Replies
1K Views
Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa...
9 Reactions
17 Replies
251 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
123K Views
Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli...
2 Reactions
9 Replies
106 Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
7 Reactions
120 Replies
1K Views
Ninataka kujua hivi: Wakati wa kukimbiza mwenge utakuta sehemu wanayofikia lazima watenge chumba maalum cha kuhifadhia mchanga. Wakiwa wanaendelea na tukio la mwenge sehemu husika utawaona...
2 Reactions
26 Replies
592 Views
MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,551
Posts
49,576,265
Back
Top Bottom