Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
11 Reactions
63 Replies
607 Views
Habari zenu bwana!. Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa. Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
6 Reactions
14 Replies
388 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
4 Reactions
50 Replies
423 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
47 Reactions
205 Replies
4K Views
Tanzania tuna uhaba wa watu wenye Akili na ambao wapo logically I guess hii ni kwa sababu sisi wenye akili kubwa hatutaki Siasa na vilaza kukimbilia siasa. Huyu Mbunge anauliza eti kwanini...
0 Reactions
5 Replies
23 Views
Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime...
18 Reactions
147 Replies
5K Views
  • Suggestion
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.! Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa. Unajitahidi usiingilie...
0 Reactions
5 Replies
13 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,349
Posts
49,601,450
Back
Top Bottom