Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wadau nawasabahi.
Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.