Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Sticky
Hellow wapendwa, Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula...
52 Reactions
2K Replies
400K Views
Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza...
0 Reactions
7 Replies
115 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi. Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia...
6 Reactions
23 Replies
158 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
8 Reactions
161 Replies
1K Views
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
1 Reactions
5 Replies
225 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,191
Posts
49,596,675
Back
Top Bottom