Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya...
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii.
Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania.
CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana...
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita lililoendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa...
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya...
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao...
Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa
kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa??
mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.