Kituo cha Redio cha Clouds FM kimetangaza kuwa Mtangazaji wa Show ya Mchana (XXL), Hamis Mandi (B Twelve) atamrithi aliyekuwa Meneja na Mtangazaji wa Show ya Jioni ya Jahazi marehemu Gadner G...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Inashangaza unakuta mfanyakazi mwenzako kasoma Sawa ana master ila kuandika kuomba hela za miradi Kwa ma donors wetu hawezi sijui niseme hana idea wakati kila kitu kipo Google ni yeye kusuka tu...
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.