Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi Nina umri wa miaka 63. Nina watoto na wajukuu. Mke wangu tulishaachana kitambo. Natafuta dogo dogo wakumspoil awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 30 juu ya hapo sitaki maana huyo ni Mzee...
1 Reactions
4 Replies
10 Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
27 Reactions
404 Replies
13K Views
Wakuu Nyumba- thaman yake ni milion 12M vyumba vitatu na kimoja cha nje Imefanyiwa wiring bado umeme lakin vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta ty Gari nalotaka...
0 Reactions
26 Replies
175 Views
Chonde chonde CCM Msishupaze shingo. Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka. Kero hizi...
3 Reactions
33 Replies
618 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
  • Poll
FREEMAN MBOWE TUNDU LISSU JOHN HECHE JINSI YA KUPIGA KURA. 1. Gusa jina la Unayemtaka 2. Shuka chini gusa "Cast Vote" #Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
0 Reactions
46 Replies
743 Views
Kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi May. Majukumu kwanza mengine baadaye, c ya!
1 Reactions
7 Replies
96 Views
Kinavyosema kipengele namba 13 cha kanuni namba 11 ya Ligi Kuu toleo la mwaka 2023 kuhusu tuzo ya mfungaji bora kwenye NBC Premier League. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, unaiona ikienda kwa nani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao. Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka...
1 Reactions
19 Replies
371 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,011
Posts
49,592,264
Back
Top Bottom