Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya Oman. Kauza bandari & misitu yetu; anafukuza...
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua...
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Wadau nawasabahi.
Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
Kuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.