Habari zenu members,
leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stoli kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akaripa deni lote...
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !
Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.