Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
1 Reactions
44 Replies
266 Views
Ni hivi hapa ADA TADEA, CCK , NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU , UMD, NRA ACT CUF na Chama cha DP.
12 Reactions
48 Replies
680 Views
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti...
7 Reactions
21 Replies
192 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya cm yangu.tena analazimisha sasa nataka aguse cm nimpasue leo napasua mtu.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
3 Reactions
44 Replies
909 Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
4 Reactions
56 Replies
603 Views
Kwa miaka zaidi ya ishirini wananchi wa kata hizo hapo juu kwenye manispaa ya Kigamboni tumekuwa kwenye hatari za maisha ya umiliki wa ardhi yetu umekuwa hauna hatma. Ilianza kwa Jeshi miaka ya...
0 Reactions
4 Replies
119 Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
10 Reactions
174 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,753
Posts
49,583,643
Members
668,155
Latest member
mbalizi mbilinyi
Back
Top Bottom