Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
https://youtu.be/86vSal-Mwkc?si=QMUDUEam0cbA4C44 My Take Tuhitimishe au tuendelee kuwasubiri wengine?
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha...
62 Reactions
235 Replies
10K Views
Ukitaka Tundu Lissu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira. Wote Wamarekani hawa Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano Kaa Chonjo 😄
0 Reactions
9 Replies
140 Views
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao. Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
9 Reactions
22 Replies
385 Views
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
7 Reactions
35 Replies
554 Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
4 Reactions
43 Replies
170 Views
All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5'...
7 Reactions
128 Replies
2K Views
Ni hivi hapa ADA TADEA, CCK , NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU , UMD, NRA na Chama cha DP.
2 Reactions
8 Replies
64 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,683
Posts
49,581,614
Members
668,117
Latest member
Nunuu ali mohd
Back
Top Bottom