Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh. James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh. Joseph Selasini Mahakamani katika Kesi aliyofungua Mbatia ya Kumdhalilisha.
Katika Kesi hiyo...
hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata me pia? nilidhani ni kwa ke tu...
ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia tafadhali, naona...
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu...
Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa
Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki
Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.
Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.