Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Wakuu naomba kufahamu kuhusu suala hili tafadhari.
1 Reactions
31 Replies
504 Views
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
10 Reactions
24 Replies
467 Views
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stoli kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akaripa deni lote...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
6 Reactions
98 Replies
3K Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
6 Reactions
38 Replies
516 Views
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
6 Reactions
95 Replies
2K Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
27 Reactions
106 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,624
Posts
49,579,956
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom