Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
4 Reactions
10 Replies
366 Views
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
69K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, sisi wote ni wachawi, umeanza kulogeshwa tangu ulipozaliwa. Sema tunajiificha tu na unafiki WA kivuli cha dini zetu ila nyuma ya maisha yetu kumejaa uchawi, uzinzi...
0 Reactions
1 Replies
38 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
74 Reactions
306 Replies
7K Views
Ukitaka Tundu Lisu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira Wote Wamarekani hawa Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano Kaa Chonjo 😄
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
3 Reactions
11 Replies
306 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
36 Reactions
134 Replies
4K Views
Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za...
5 Reactions
24 Replies
392 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,663
Posts
49,581,140
Members
668,095
Latest member
Pombe chafu
Back
Top Bottom