Salamuu wakuu,
Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu
Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi
Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin...
Wakuu nipo serious kama unatafuta mume either uolewe au tuishi kama wapenzi ni pm huenda tukaendana umri wangu 30's huyu nilokuwa nae kishanuka sitaki kusema kwanini kimenuka karibu
NB, hii ni...
Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtumzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa...
Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta...
Habari wanabodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.