Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu...
30 Reactions
379 Replies
64K Views
Zilikuja Mafia kuvua boti za fery Dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni.
3 Reactions
29 Replies
936 Views
ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
3 Reactions
13 Replies
159 Views
Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
8 Reactions
47 Replies
688 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
11 Reactions
57 Replies
927 Views
Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo...
2 Reactions
18 Replies
525 Views
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji...
8 Reactions
132 Replies
19K Views
Habari wakuu, Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI...
1 Reactions
29 Replies
841 Views
Huyu ni kiongozi mkubwa wa wasabato na mchungaji mkongwe kutoka Simiyu. Kutoka kwa kigogo inaonesha kuna mtu amemposti akijuta kujichanganya kumchagua kuwa kiongozi wa wasabato. Posti hiyo ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,307
Posts
49,569,934
Members
667,864
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom