Kuna mmoja hapa na macho ya kawaida tu, bas nikamwambia unamacho mazuri sana natamani niwe nakuangalia mara zote, eeh basi anajua ni kweli amekaa anayazunguusha zunguusha kumbe hakuna maajabu...
Halo wanna intelligent,
Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema...
Habari wanabodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
Kiongozi wa Ukraine anahimiza ulimwengu kuungana dhidi ya Moscow
Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake - Zelensky
Vladimir Zelensky wa Ukraine ameitaka jumuiya ya kimataifa...
Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni,
Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji, wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa.
Ulikuwa mjadala...
Takriban watu 670 wanaaminika kufariki dunia baada ya maporomoko makubwa ya udongo huko Papua New Guinea, afisa wa Umoja wa Mataifa aliliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumapili wakati...
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake
Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
Wanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.