Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani...
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
Kwema,
Kuna binti nimemuelewa happy mtaani nikamwambia aje sehemu fulani Kuna mzigo nataka nimpe. Kweli akaja ila kwa kuwa huo mzigo sikuwa nao ikabidi nimdanganye mzigo haujafika ila naona akawa...
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.