Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inaonekana kwasasa jamii yetu na ya Dunia kwa ujumla ina struggle katika kujua sifa za asili za mwanamke kwa kuzingatia misingi ya mahitaji ya kijinsia. Tokea kuumbwa kwa ulimwengu viumbe...
1 Reactions
4 Replies
32 Views
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth...
5 Reactions
25 Replies
670 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
32 Reactions
174 Replies
3K Views
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
4 Reactions
18 Replies
169 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
21 Reactions
287 Replies
2K Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
12 Reactions
23 Replies
357 Views
Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana. Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni...
1 Reactions
9 Replies
130 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
55 Reactions
272 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza haya majina ya vimbunga. Mfano hicho kimbunga huko Nchini Zambia kinaitwa FREDDY miaka ya Nyuma kulitokea vimbunga Nchini Marekani wajuvi wanapenda kupaita...
2 Reactions
17 Replies
963 Views
Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo. Japo Kizungu cha "makamanda" wetu...
7 Reactions
30 Replies
852 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,021
Posts
49,562,490
Members
667,747
Latest member
mabalaHQ
Back
Top Bottom