Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
8 Reactions
110 Replies
441 Views
Ukiangalia mitume wale 12, Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura. Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na...
3 Reactions
31 Replies
538 Views
Pension za wastaafu za kila mwezi kutoka hazina mpaka leo tarehe 4 May hazijalipwa, je,zimepelekwa sikukuu ya wafanyakazi? Hakuna asiyejua adha ya wastaafu,hasa wale wanayopata pension zao za...
0 Reactions
5 Replies
28 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
11 Reactions
17 Replies
263 Views
Tunakumbushana ukubwa tu wa hiki Chama kikuu Cha Upinzani Chadema Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha...
0 Reactions
7 Replies
104 Views
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri...
3 Reactions
16 Replies
314 Views
Wengi ni weupe sana kwenye hizi newz. Nilikuwa naongea na mmoja hana hata habari ya uwepo wa kimbunga hidaya. Ukikuta wenyewe wametulia wanaangalia TV hapo lazima kuna; tamthilia, bongo muvi...
1 Reactions
16 Replies
285 Views
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth...
5 Reactions
21 Replies
550 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,978
Posts
49,561,243
Members
667,720
Latest member
AISHAT RASHID
Back
Top Bottom