Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana...
Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Hali sio hali nchi hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Ghalama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya...
Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP):
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.