Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
66 Reactions
368 Replies
11K Views
Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanganyika kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini) Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu...
32 Reactions
106 Replies
8K Views
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni...
11 Reactions
220 Replies
6K Views
Inadaiwa kitetesi kuwa kamati Kuu ya Chadema itajadili Maoni ya makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana Wakati wowote kuanzia sasa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi Kwa sasa kila taasisi yaani Mnyika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
0 Reactions
8 Replies
281 Views
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda...
13 Reactions
105 Replies
2K Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
9 Reactions
72 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa kiluvya Gogoni Vinatazama Barabara kuu Ya morogoro Road Ukubwa ni smq 550 nakuendelea bei mln 23. 0675965906
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,554
Posts
49,578,187
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom