Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
19 Reactions
116 Replies
545 Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia...
8 Reactions
70 Replies
996 Views
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana. Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
15 Replies
237 Views
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
7 Reactions
27 Replies
944 Views
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Baada ya kuwaza Thread 'Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?' Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada? Nikaona thread ya jamaa humu akielezea kwamba unaweza...
6 Reactions
36 Replies
909 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawaishi kuwasemea vibaya wahitimu wa elimu ya ngazi za juu hapa nchini. Ni kweli tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa lakini sio sababu ya kulaumu na kuwasema...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa...
3 Reactions
23 Replies
191 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,849
Posts
49,557,117
Members
667,672
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom