Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU...
Watu Wengine Wanakufa Kabla ya Wakati
Kibiblia, kuna vifo ambavyo havistahili kutokea kwa mwanadamu, isipokuwa kutokana na sababu za kiroho, yaani za kiimani. Hii ni kutokana na kutokuwa timilifu...
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa awajajua
Majuzi nilikuwa napga kwa shemeji yenu ana simu mbili..ya kwanza ilibaki nyumban ya pili piga kimya aipatikan na kaaga anaenda...
Wakuu,
Kwa ufupi ili kuinusuru hii timu ni muhimu haraka sana iundwe kamati ya mpito kusimamia timu kumaliza ligi kwa heshima. Kamati ndogo itayofanya kazi na muwekezaji kwa karibu pamoja na...
Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
UTANGULIZI.
Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na...
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa...
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji...
TANI 1..8 ZS MADAWA YA KOKEINE ZIMEKAMATWA KISIWA CHA ST MARTIN KILICHO CHIN YA UFARANSA
MELI HIÒ ILIKAMATWA MDA MFUPI BAADA YA KUHISIWA KUNA MZIGO WA COCAINE
HATA HIVYO WAHUSIKA WOTE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.