Wadau habari za Muda huu,
Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4
Anataka kusoma Masters...
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine.
Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks.
Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2...
Nchi za Ulaya zina historia ya kuwa na ugomvi na Urusi
Ugomvi huu una udini ndani yake
Isingekuwa mkono wa Marekani, Urusi ingekuwa imeshavamia leo hapo Ukraine
Ugomvi wa Ulaya magharibi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.