Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu.
Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za...
CHRISTINA SHUSHO AMEMKOSEA MUMEWE, ATUBU
Kitendo cha Christina Shusho kusema kwamba aliozeshwa akiwa mdogo bila idhini yake ni kumdhalilisha huyo aliyekuwa mume wake kwamba alikuwa mkubwa sana...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Kabla ya yote, nachukua nafasi hii kumshukuru allah (sw) kwa kunijaalia uzima wa afya na uhai pia kuniwezesha kushiriki katika shindano hili la kuandika andiko la kutoa mawazo ya kibunifu kuhusu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
Hakika Producer na Director wa Tamthilia ya HUBA asione AIBU kukatisha Matangazo yake DSTV Maisha Magic BONGO. Yanayoendelea hayaeleweki ili mradi kipindi kipo hewani. Hebu Fikiria Dakika 10...
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.