Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Ikiwa leo ni Tarehe 2 May 2024, Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameongoza Maandamano Makubwa ya kupinga dhiki, Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Hali ndio kama...
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
Ndugu Mzazi/Mlezi wa JESSY MBOYE Taasisi yamfuko wa elimu na ufadhili TESA imemchagua mwanao kumdhamini kusomeshwa bweni kidato cha 5 na 6 kwa kumlipia ada yote isipokuwa mzazi/mlezi utachangia...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
KILIMO BORA CHA UFUTA
Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail...
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.