Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke...
23 Reactions
277 Replies
5K Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
21 Replies
38 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
6 Reactions
58 Replies
550 Views
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
0 Reactions
8 Replies
11 Views
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU Na, Suphian Juma Nkuwi. Salaams Watanzania wenzangu, Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
2 Reactions
18 Replies
336 Views
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
7 Reactions
26 Replies
650 Views
Riwaya hii ni ya kubuni, hivyo mfanano wa matukio wa ndani ya Riwaya na maisha halisi unayoyaishi ni shabaha tu ya fikra za Mtunzi. Karibuni nyote kwa wingi MABADUNI WA SERIKALI Utangulizi...
10 Reactions
183 Replies
22K Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
25 Reactions
192 Replies
3K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,526
Posts
49,549,220
Members
667,529
Latest member
Gerard lupin
Back
Top Bottom