Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
Mafundi waliopelekwa nyumbani kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba wametumia mwanya huo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali kwenye nyumba hiyo, pale waliposafiri na kumuacha housegirl...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.