Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake.
Pia...
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha,
Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Zito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema...
Wadada wa jf
Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife
Na wamezaa watoto 2
Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba shemeji hataki kufanya sex kabisa
Dogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.